MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

22 June 2011

NDANDA COSSOVO AZIPONDA BENDI ZA BONGO.

Mwanamuziki wa Congo anayefanya shughuli za muziki nchini Tanzania Ndanda Cossovo "Mujelajela Original" ametaka bendi za Tanzania kufanya muziki wao katika level ya kimataifa na si kupiga domo tu kwenye majukwaa na kuwadanganya mashabiki kuwa wapo kimataifa kumbe ni uongo. "Ogopa sana mtu anayepanda ndege kila siku kwenda kufanya muziki nje ya nchi, hakuna bendi hata moja ambayo imepata hiyo fursa bali ni bendi yangu tu kidooogo na Twanga Pepeta" Ndanda Cossovo aliyasema hayo alipokua akihojiwa na kusisitiza kua si FM ACADEMIA, ACUDO, na nyinginezo nyingi zilizopata nafasi kama yangu na bendi yangu afadhali kidooogo Twanga wamesogea hapo Maskati, lakini mimi napiga show UK, USA, FRANCE na nchi nyingine zilizoendelea.

No comments:

Post a Comment