![]() |
Tunakumbuka miaka miwili tangu kifo cha mfalme wa Pop duniani, Michael Jackson kilichotoke nyumbani kwake nchini Marekani, ambaye alikua akiugua kwa mda kabla ya mauti kumkuta. Michael ndiye msanii pekee duniani aliyekua na tuzo nyingi kuliko msanii yeyote pia ndiye msanii aliyeuza nakala nyingi kote duniani mpaka sasa. AFRIKA YETU, inapenda kuungana na familia katika kumuombea marehemu Michael Jackson Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen. |
24 June 2011
"TUNAKUKUMBUKA MICHAEL"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment