MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

26 June 2011

WAAFRIKA WAKITENGENEZA MOVIE

Afrika yetu imejaliwa vipaji na rasilimali nyingi ambazo kama zitatumiwa vizuri na kuzienzi zitatoa ajira nyingi kwa vijana na kupunguza wimbi la vijana wanaokaa vijiweni bila shughuli maalumu. Vijana hawa wa Magomeni wao wameamua kujiajiri katika kiwanda cha filamu za bongo. KIRUKAAFRIKA INAWATAKIA KILA LA KHERI KATIKA KAZI YAO.

No comments:

Post a Comment