"HUYU ALIKUA BIG BROTHER WETU"
Hapa Richard Bernezernhout akiwa kwenye dimbwi zito la mahaba na mu-Angola Tatiana wakati waliposhiriki wote shindano la BBA wakati Richard toka Tanzania ndiye aliibuka mshindi na kujinyakulia kitita cha shilingi Milioni 200 za Kitanzania. Lakini mimi nina swali, hivi kwenye hilo jengo no lazima tuwe tunashiriki ngono ndiyo tuweze kushinda au ni tabia yeyote ilimradi watu wakukubali? Najua jibu unalo wewe Mwafrika mwenzangu.
No comments:
Post a Comment