Akina dada hawa ambao majina yao sikuweza kuyapata mara moja, walifumaniwa na Camera wakiwa nabusiana kimahaba kana kwamba wana jinsia tofauti. Sikuweza kujua kujua mara moja kama ni timamu au ilikua ni pombe maana maeneo waliyokutwa ni maeneo ya vilevi. Lakini kwanini kila jambo baya inasingiziwa ni pombe? Mimi naamini ni tabia ya mtu mwenyewe kwa jinsi alivyolelewa na alivyojiendekeza. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inalaani vikali na ilishawahi kulaani vikali juu ya vitendo kama hivi vinavyofanywa na dada zetu hawa. |
No comments:
Post a Comment