14 August 2011
"UKIJITUMA UTAFANIKIWA HATA KAMA KIPATO NI KIDOGO|"
Kijana wa Kiafrika akiwa amejibebesha Rumbesa mgongoni kama shughuli zake za kila siku za kujipatia kipato cha kuendesha maisha yake ya kila suku. Serekali ya Tanzania imepinga vikali ujazaji wa Rumbesa kwani inasemekana ina wanyonya wakulima hasa wadogowadogo kwani wanunuzi wa bidhaa huko vjijini, hununua mzigo mkubwa kwa bei ya chini hali inayopelekea wakulima kutofaidika na chochote na hata kama wanafaidika basi ni kidogo sana tofauti na kazi zao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment