MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

13 September 2011

"WATANZANIA WENZETU WALIVYOPOTEZA MAISHA KWENYE MAJI"

Kuna fununu kwamba Serekali ya Zanzibar imekataa msaada toka kampuni ya simu ya Vodacom kwa madai kwamba wakati Wanzibar wakiwa kwenye janga kubwa kama hilo wao (VODACOM) walikua wakisheherekea shindano la kumtamfuta mlimbwende wa Tanzania kwahiyo hawana sababu yoyote ya kupokea msaada wao. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inaomba Serekali ya Zanzibar kupokea msaada wowote bila kujali unatoka wapi na ametoa nani ili kuweza kusaidia wanafamilia waliopatw na janga hili kubwa kwa Taifa.

No comments:

Post a Comment