MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

04 January 2012

KWA WENZETU KUNA MAMBO JAMNI....

Mwanamke mjamzito wa taifa la China, akionesha ufundi katika kucheza muziki katika shindano la wanawake wajawazito lilofanyika katika mji wa Urumqi Kaskazini  Magharibi mwa mji mkuu wa China.

Kila mmoja alionesha ufundi katika kucheza muziki...

Wakiwa kwenye mstari wakisubiri kutangazwa kwa mchujo wa kwanza.

Kila mmoja alionesha ni jinsi gani anaweza kutunza mimba na kujichora aina ya mtoto anayemtaka.

Mwanamke Yu Fangfang akipokea ua toka kwa mumewe kama alama ya ushindi na matarajio ya kuwa mama....

No comments:

Post a Comment