MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

13 May 2012

AJALI ZINA KINGA TUKIWA MAKINI.

Tunapopanda Boda boda inabidi tuwe makini sana hasa tnapokua hatuna kofia ngumu (helement). Tazama ajali kama hii iliyotokana na uzembe wa muendesha Boda boda na abiria wake. Wewqe kama abiria una haki kuuliza kofia ngumu kwa usalama wa maisha yako

No comments:

Post a Comment