MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

22 June 2011

SOON KAMA IPO KITAANI.

Mwanamuziki nguli wa muziki wa Hip Hop nchini Tanzania Joseph Haule (Prof. Jay) amesema anaendelea na shughuli ya upigaji picha wa video ya wimbo wake mpya wa KAMA IPO na kampuni ya Visual Lab ya hapa hapa nchini chini ya Director Adam Juma. Ameaambia mashabiki wakae mkao wa kusubiria ili waione video yake mpya, "Kiukweli niliku kimya kwa mda mrefu ni kwasababu nilikua najipanga kwa mambo mazuri kwaajili ya mashabiki wangu wa muziki na huu ujio wangu ni lazima watakubali" alisema Prof. Jay.

No comments:

Post a Comment