MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

22 June 2011

"TUSIISHIE KUPIGA NAO PICHA TU JAMANI!!!!!"

Mwanamuziki nguli wa Tanzani Ambwene Yesaya (AY) akiwa kwenye picha ya pamoja na mwanadada toka Marekani Eve ambaye hufanya muziki wa Hip Hop, alipozuru nchini Tanzania kwenye moja ya matamasha yake. Mimi kwa maoni yangu ningependa tusiwe tunaishia kupiga nao picha tu bali tufanye nao kazi ionekane mwisho wa siku tujulikane kimataifa.

No comments:

Post a Comment