MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

28 June 2011

TANZANIA TUKIFIKA HAPA KWA TATIZO HILI SIJUI ITAKUAJE!!

Dakar
Maandamano yamezuka katika mji mkuu wa Senegal, Dakar na katika jiji la kusini la Mbour kutokana na ukosefu wa umeme. Jijini Dakar, majengo kadhaa ya serikali yalichomwa moto, zikiwemo ofisi za shirika la umeme la serikali - Senelec. Tunaomba serali yetu hapa nchini Tanzania, itupunguzie hili tatizo la umeme kama si kumaliza kabisa. Tunapenda serekali yetu itoe tamko rasmi maana iliwahi kutamka mgao umeisha na kumbe bado unaendelea.

No comments:

Post a Comment