MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

07 July 2011

"KIJINI KWETU MASHINE NDIYO USAFIRI"

Si kitu kigeni kwa kijijini kwetu ila ninyi wa mjini mnaweza kushangaa kidogo kuona chombo cha kulimia kikitumika kama usafiri wa abiria. Hii ni huko Iringa vijijini, ambapo wananchi wake hutumia kama usafiri wa kutoka sehemu moja kwenda nyingine. Tunajua serekali inajitahidi kuwakwamua wananchi wake katika wimbi la umaskini pia tungependa wawe pia wanatazama zaidi vijijini maana huko ndiko wanakotaabika zaidi maana UMEME, MAJI, BARABARA, HUDUMA ZA AFYA, wao kidogo wanapata shida zaidi ukilinganisha na wenzetu wa mjini. Kirukaafrika na Afrika yetu iko pamoja na wananchi wote katika ujenzi wa Taifa

No comments:

Post a Comment