MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

06 July 2011

"TUSIJICHUKULIE SHERIA MKONONI WAAFRIKA"

Jamani huyu ni mwafrika mwenetu ambaye yeye hakupenda kufanya kazi zilizo za halali badala yake aliamua kuwa kibaka na badala yake wananchi wenye hasira kali wakajichulia sheria mkononi. Kitendo cha kujichulia sheria mklonoi si kizuri kabisa kwani licha kuvunja amri za Mungu pia ni kinyume na sheria ya nchi yetu ya Tanzania, lakini kuna baadhi ya watu waadai wanapowakamata wahalifu na kuwapeleka kwenye vyombo vya sheria, haipiti hata siku wanamuona mualifu wao akizurura mtaani tena kwa majigambo makubwa na ndiyo maana wameamua kuwaua. Kirukaafrika na Afrika yetu, inalaani kabisa kitendo cha kujichukulia sheria mkononi na badala yake wawafikishe kwenye vyombo husika, na Jeshi letu la Polisi litoe msaada wa kutosha kudhibiti hali hii.

No comments:

Post a Comment