"TUKUBALI TUKATAE YANGA NDIYO MABINGWA"
Yaani jamaa miaka ngapi nje kisha hao wanalichukua kilaini mkononi mwa mnyama.Usishangae kiza,jamaa wa tanesco wana roho mbaya na watunzi wa uwanja wanahasira ya kufungwa kwanini wamewezesha kiza kuwapo Yanga ikishangilia ubingwa?

Kwanza ilikuwa patashika.Kipindi cha pili hakikuwa bomba kwa simba
No comments:
Post a Comment