"ULEVI............ NOOOOMA"
Kila siku serekali pamoja na Asasi mbalimbali zimekua zikipiga kelele kua kua fundo moja tu la ziada linaweza kukuumbua lakini watu tumekua na sikio la kufa, kama anavyoonekana kijana huyu alipokutwa na kamera ya KIRUKAAFRIKA NA AFRIKA YETU akiwa hajitambui kabisa. Hivi mtu kama huyu ana familia kweli? Kirukaafrika na Afrika Yetu inakemea vikali vitendo hivi vya ulevi.
No comments:
Post a Comment