MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

24 July 2011

USAFIRI KAFIRI....

Serekali yetu inabidi kuwa makini sana kuhusiana hawa bodaboda. Hivi kama huyu dereva wa Bodaboda alipobeba watu waliozidi kiwango cha ubebaji wa kawaida si anahatarisha maisha ya hawa abiria na hata yeye mwenyewe? Ila wakati mwingine hata sisi wenyewe abiria hua tunachangia katika ubebaji wa mzigo mkubwa kama huu. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inakemea vikali madereva wote wanao jaza abiria kupita kiwango cha chombo chenyewe.

No comments:

Post a Comment