Hawa ni waafrika wenzetu waliouwawa na Waafrika pia. Kweli kama tutauwana sisis wenyewe hivi wageni wakituchokoza kwa lengo la kutaka kuchukua maliasili zetu kweli kabisa kunauwezekano sis wenyewe tukawapa ushirikiano wageni? Kirukaafrika inalaani kabisa kitendo kilichofanywa na makatili hao. |
No comments:
Post a Comment