
Kweli huyu jamaa kachanganyikiwa au tuseme ametoka alifungwa jela tangu alipokua mdogo? Kiukweli huyu jamaa anastahaili kupewa darasa kuwa hao ni viumbe na huwa wanafanya hiko kitendo na wanyama wenzao. Jamaa huyu alipokamatwa na askari alipokua akifanya kitendo hiki, alishindwa na kushikwa na kigugumizi. Jamii ya kiafrika inapenda kukemea kitendo alichokifanya jamaa huyu pamoja na akili zake.
No comments:
Post a Comment