MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

24 July 2011

WATOTO WANA HAKI YA KUCHEZA.

 Hawa ni watoto wa Kiafrika walipokua wakijifurahisha katika maeneo yao ya kila siku kama walivyokutwa na Kirukaafrika katika maeneo ya kijijini mara baada tu ya kuona kamera watotot hawa waliacha kucheza na kila mmoja kutaka kujua kama kuna uwezekano wa kupewa chochote. Watoto hawa walionekana wenye furaha sana tena wasio na wasiwasi kabisa.

No comments:

Post a Comment