Kiukweli binadamu wengi mvua inaponyesha huwa wanakimbia sana kukwepa mvua isiwanyeshee, sasa awali ni kwamba mbona wanapita barabarani huwa hawaogopi kabisa kana kwamba magari hayawezi kuwadhuru lakini mvua inaponyesha hutimua mbio? Hawa ni wafanyabiashara ndogondogo wakiwa wameweka bidhaa zao kandokando mwa Reli kana kwamba hawajui madhara yake. Na utafiti niliofanya ni kwamba wafanyabiashara wa eneo hili wanaposikia Garimoshi linakuja wao hupisha Garimoshi lipite na wao kuendeleana biashara zao. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inapenda kuwaomba wafanyabiashara walio karibu na maeneo hatari kama haya na sehemu nyingine kuhama mara moja kabla ajali hazijawakuta. |
No comments:
Post a Comment