MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

18 August 2011

"YAWEZEKANA HAWA JAMAA NI NDUGU WA DAMU"

N!xau muigizaji wa filamu za vichekesho nchini Afrika ya kusini za "THE GODS MUST BE CRAZY" na mwana R&B toka Marekani Usher Raymond imesemekana kuna uwezekano mkubwa wakawa ni ndugu wa damu kabisa kwa jinsi wanavyofanana hata wakiwa wanatabasamu au kucheka. Ukiangalia picha hapo juu waweza kubaliana na swala kama hilo kabisa maana mbali tu na kufanana kwa sura wote ni weusi, wote ni wasanii, tofauti ni kwamba Usher ni msanii wa kuimba, na N!xau ni muigizaji japo hata User naye hua anaigiza japo si sana kama N!xau. Na wote ni weusi japo N!xau yeye alikua akiishi Afrika na Usher anaishi Marekani. Ikumbukwe pia N!xau tayari alishafariki.

No comments:

Post a Comment