MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

17 August 2011

"HATUNAYE TENA MWAFRIKA MWENZETU?

Kijana huyu ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja ambaye kwa sasa ni marehemu, mauti yalimfika baada ya Simba mla watu aliyekua akipatikana maeneo ya Mkuranga nje kidogo na mji wa Dar-es-salaam ambapo inasemekana Simba alitaka kuwala mama na mtoto wake lakini kwa bahati walionayo mama yule na mwanaye walifanikiwa kukimbia na kumkuta kijana huyu mpanda baiskeli akiwa ametoka kwenye mizunguko yake ya kila siku na kukutwa na dhahma hiyo ya kuuwawa na Simba. Kirukaafrika na Afrika yetu, inawapa pole wanafamilia kwa kumpoteza ndugu yao.

No comments:

Post a Comment