MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

17 August 2011

"HARUFU MBAYA..........

Hili ni jiji la Dar-es-Salaam linavyonekana baadhi ya maeneo yalivyoku machafu wakati mvua hakuna, mvua zikianza ni lazima maeneo kama haya kama kuna mitaro ni lazima itaziba tu, sasa ni jukumu la nani kuhakikisha kua eneo analoishi lina kua safi? Au tutaendelea kuipigia kelele Serekali kua haitujali? Tuwe na moyo wa kizalendo na kupenda kuweka maeneo yetu safi muda wote kuanzia masika, kiangazi, kipupwe na vipindi vyote vya mwaka mzima ili mwisho wa siku sio kuipigia Serekali kelele eti haitujali. Serekali ina mabo mengi ya kufanya na si kila jambo lifanywe lifanywe na Serekali mambo mengine tunaweza kufanya sisi wenyewe. Marehemu Rais wa Marekani JOHN F. KENNED aliwahi kuwaambia wananchi wa Marekani hasa vijana kuwa "USIULIZE MAREKANI ITAKUFANYIA NINI, JIULIZE UTAIFANYIA NINI MAREKANI"

No comments:

Post a Comment