Askari Mgambo wa jiji la Dar-es-Salaam wakimbeba mwana mama ambaye ni muuza chakula maarufu kama MAMA-NTILIE, ambaye alikiuka amri ya Serekali iliyowataka kuacha biashara hiyo mara moja kwa kuzingatia Afya ya walaji. Lakini tukijaribu kufikiri kwa upana zaidi, ilipaswa Serekali kuhakikisha inawatengea maeneo ya kufanya Biashara hiyo na si kuwakamata na kuchukua vyakula vyao bila kuwasaidia pa kwenda. |
No comments:
Post a Comment