"HIKI NI KIZAZI KILAANIKA AU?
Hivi mtoto mdogo kama huyu ana wazazi kweli? Na kama anao wanafanya kazi gani kuhakikisha mwanao anakua katika maadili ya Kitanzania au ya Kiafrika? Hembu tazama mtoto huyu halafu uniambie mchana kweupe kabisa mtoto kama huyu ameshikilia chupa ya pombe bila hata wasiwasi na kuna wazazi wapo eneo hili wanamtazama kweli tunajenga tunabomoa? Huku tunakoelekea hatuandai taifa bora bali tunaandaa majambazi bora
No comments:
Post a Comment