MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

10 August 2011

"TUWE MAKINI TUWAPO KWENYE BARABARA ZA GARIMOSHI"

Jamani dada huyu alikua kwenye mihangaiko yake ya kila siku katika maeneo yake kwa bahati mbaya akiwa amejipumzisha kwenye reli ndipo mauti yalipomkuta dada huyu ambaye kimuonekano ni kama miaka25-35. Kiukweli bado alikua ni tegemeo kwa familia yake na taifa kwa ujumla. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inawapa pole wale wote walioguswa na kifo cha dada huyu mdogo kabisa.

No comments:

Post a Comment