"HUU NI MUDA WA KUSOMA NA SI KUTUMANA TENA"
Mwanafunzi wa shule moja ya msingi alipokutwa na kamera yetu akiwa ametoka porini kutafuta kuni kwaajili ya kupikia chakula cha nyumbani kwao ukiwa ni muda wa masomo bila walimu kujali kama mwanafunzi huyo alitakiwa kuwa darasani kwa muda huu. Sijui tunaandaa taifa la namna gani ikiwa hatutakuwa makini kuandaa hiki kizazi mapema. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inalaani vikali vitendo vya walimu na wazazi kuwatumikisha watoto wakati wa masomo.
No comments:
Post a Comment