06 August 2011
"JAMANI TUSIWE WACHOYO KIASI HIKI HEEEEEEE!!!!!!!!!!"
Kama mzazi wako angekufanya hivi wewe ungekuwa wapi leo hii? Kama usingekua umeshakufa, sasa hii tabia tunatoa wapi chakula kimepikwa badala ya kula na wanao wewe unakula peke yako tena kwa kuwakanyaga mikono ili wasile bhii ni tabia mbaya na ukiukwaji wa haki za watoto. Inapaswa huyu jamaa achukuliwe sheria kwani watoto wana haki ya kula, kulala, kupata mavazi na hata elimu. Kirukaafrika na Afrika Yetu inalaani vikali kitendo cha wazazi kama hawa wanao kula na kuwakanyaga watoto mikono. Sasa tunawazaa wa nini?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment