05 August 2011
" JAMANI MAISHA POPOTE"
Wewe ukiwa unalalamika huna pa kuishi hawa jamaa watakushangaa sana maana wao wanasema maisha popote ilimradi tu uweze kuyamudu. Unaweza kufikiri ni maisha ya kuigiza lakini ni maisha waioamua kuishi baada ya kubomolewa nyumba zao kwa madai kwamba walijenga kwenye eneo la barabara, sasa swali ni kwamba wakati wanajenga hawakujua au waliuziwa viwanja na matapeli au walirithishwa na babu zao bila kufatilia kama viwanja hivyo ni halali au la? Kirukaafrika na Afria Yetu, inawapa pole wale wote waliobomolewa nyumba zao.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment