MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

30 July 2011

"HII NDIYO POLISI JAMII?"

Siwezi kusema hawajui walitendalo lakini inabidi tuangalie pande zote mbili za shilingi, inawezekana hawa wanaopigwa hapa ni waalifu lakini kuna ulazima wa kuwashushia kipigo namna hii kweli? Nadhani ilikua ni vizuri  kama wangewakamata nakuweka chini ya ulinzi na kuwafikisha katika vyombo husika lakini si kuwapiga kama inavyoonekana hapa pichani. Hii imetokea katika nchi mojawapo ya hapa Afrika kwetu na si kwingine. Kirukaafrika Afrika yetu, ina laani vikali kitendo cha Askari polisi kujichulia sheria mkononi.

No comments:

Post a Comment