29 August 2011
"JAMANI SEREKALI SIKIA KILIO CHA WAZAZI HAWA."
Hawa ni wakina mama katika hospitali flani ilioko hapa jijini Dar-es-Salaam wakiwa wanalala wawili wawili huku wengine wakiwa wanalala chini huku wakisubiri kujifungua. Wakina mama hawa wanaiomba serekali ya Kikwete iwasikilize kero zao kwani mbali na kujifungulia chini pia huduma wanazopata hpo ni mbaya sana. Pia wameeleza kua wakati mwingine wakunga wa hospitali hiyo huwatolea lugha chafu kitendo cha wao kukosa amani pindi wanapojifungua.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment