MBUNGE AOMBA KURA KWA WATOTO KWA KUWA PIGIA MAGOTI.
Mbunge mmoja akiwa amepiga magoti akiomba kura kwa watoto akiomba kura za mwaka 2015 akiamini mpaka mwaka 2015 ufike watoto hao wata kua wamefikisha umri wa kupiga kura. Sijajua kama anachokifanya Mbunge huyu ni ujanja au ana tatizo lolote.
No comments:
Post a Comment