MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

20 August 2011

NDOA KATIKA UMRI MDOGO HAUFAIII...

Wanandoa hawa wakigombea mtoto kila mmoja akidai ni wake. Tukio hili lilitokea maeneo flani huko kijijini wakati wazazi wa mwanamke walimlazimisha msichana wao kuolewa katika umri mdogo ilihali bado yuko shuleni na kumkatisha masomo yake, na kuamua kumuozesha kwa mwanaume ambapo umaskini nao ulichangia  binti huyu kuolewa mapema. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inawaomba wazazi hasa waliovijijini kuacha mara moja tabia ya kuwaozesha binti zao bado wakiwa wadogo tena wakiwa masomoni.

No comments:

Post a Comment