"NI KWELI WAAFRIKA HATUPENDANI AU HATUJUA THAMANI YA UPENDO?"
Waafrika wenye hasira kali wakiwa wamejichukulia sheria mkononi baada ya kumkamata jamaa aliyesadikiwa kuwa ni kibaka na kuamu kumchoma moto. Swali ni kwamba ni kwa nini anapokamatwa mhalifu hua hafikishwi kwenye vyombo husika na kuamua kujichukulia sheria mkononi? Au tunadharau Jeshi la Polisi? Kirukaafrika na Afrika Yetu inalaani vikali kitendo cha watu kujichukulia sheria mkononi.
No comments:
Post a Comment