
Washiriki wa Bongo Star Search mwaka Jana ambao na mwaka huu wamerudi tena ndani ya Bongo Star Search Second Chance Chiby Dayo na Bella Kombo hatimaye waangukia tena katika Malavidavi ya kufa mtu kati yao.
Washiriki hao ambao mwaka jana walikutwa na skendo ya uchumba ndani ya nyumba kwa mara nyingine tena imewaangukia wao mara baada ya ukaribu wao toka siku ya kwanza ndani ya Academy.
Kwa nyakati tofauti wapenzi hao wakiongea na mwandishi wetu wamekana kuhusiana na mahusiano hayo wakisema hakuna la zaidi kwani wao ni kama rafiki tu.
‘Unajuwa mi nashangaa watu wanapenda kufwatilia sana maisha ya watu, mimi Chiby ni kama Kaka yangu tu hakuna lingine lolote kati yetu’ alisema Bella
Naye Chiby alipoulizwa alikana kwa kusema Bella ni kama mshiriki mwenzake tu.
Lakini kwa upande mwengine ndani ya angle za Academy washiriki hao walikutwa wakiwa katika pozi za malavidavi ya kwa ukaribu ambao hata mtoto angejuwa kabisa kinachoendelea.
Yetu Macho na masikio, Lakini endelea kumpigia kura mshiriki wako kwa kuandika number ya mshiriki kasha tuma kwenda 15747.
Kuvutia tovuti. Keep Blogging!
ReplyDelete