Hili ndiyo taifa letu la kesho wakiwa wanajitafutia mahitaji yao ya kila siku bila kujali afya zao wala muda wao. Ikiwa kila mtu atakua mtafutaji hivi bila kujali eneo wala usawa eneo lake, basi kila mtu atakua tajiri maana watoto hawa kama walivyokutwa hawakujali mtu, eneo, wala afya zao wao walichokiangalia ni je wanachokitafuta watafanikiwa? |
No comments:
Post a Comment