Maeneo mengi ya Jijini Dar-eS-salaam wakati wa ukame hua ni machafu sana kulinginisha na mikoa mimngine kama Kilimanjaro, Arusha, Mwanza na mikoa mingine mikubwa, wananchi wa jijini Dar-eS-salaam inapofikia wakati wa mvua na kuona maji yametuama huanza kuilalalmikia Serekali na kusema Serekali haiwajali kwasababu wanakipato cha chini kitu ambacho mimi ninakipinga vikali sana. Kila mwananchi anajukumu la kuhakikisha eneo lake ni safi wakati wote na kwa wale wanaoishi mabondeni ni vizuri kuhama mara moja kuliko kusubiri nyakati za mvua ndipo waanze kutoa malalamiko kwa Serekali yao tukufu. |
No comments:
Post a Comment