MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

01 September 2011

LUKU YAHARIBU SWAUMU ZA WATU.

Siku chache za hivi karibuni Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) lilishindwa kutoa tamko la kueleweka baada ya kushindwa kutoa huduma ya umeme wa Luku kwa mkoa wa Dar-es-Salaam na miko mingine kwa siku nne kabla ya Eid El-ftri hapo tarewhe 31-8-2011, na kusababisaha watu kutoa lugha chafu kwa uongozi mzima wa Tanesco nchini na kudai wameshindwa kazi kabisa. "Ujue hawa Tanesko wameshatuona sisi Watanzania na mab*** kiasi ambacho wanajiamulia mambo watakavyo wao kama vile huu umeme wanatupa bure yaani ningekua na uwezo nafukuza wote" Alikua akiongea bwana mmoja maeneo ya Kinondoni huku akisema wamemsabishi kutoa lugha chafu na kuharibu Swaumu yake. Kirukaafrika na Afrika Yetu, inapenda kuliomba Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), kutoa taarifa mapema pindi wanapogundua kuna tatizo limejitokeza.

No comments:

Post a Comment