Serekali yetu inapaswa kwenda vijijini na kutazama vipaji kama hivi ili kuweza kuviendeleza na kuandaa taifa imara lenye wabunifu wa kweli. Ukiangalia picha hii kwa haraka haraka unaweza usielewe hawa watoto hiki wanachofanya kua ni kitu kikubwa sana, na ambacho kinahitaji msaada mkubwa sana kwao. Hata mimi na umri niliokua nao na taaluma yangu siwezi unda chombo kama hiki na kuweza kukifanya kama usafiri. Serekali yetu naiomba ilitazame hili kwa jicho la tatu. |
No comments:
Post a Comment