Nasib Abdully a.k.a Diamond na mwanamuziki na Icon wa bongo movie Wema Isaac Sepetu, leo hii ametoa tamko mbele ya waandishi wa habari kua hamtaki tena Dimond kwa kile alichodai Diamond kumsakama na maneno kila kukicha kitu ambacho Diamond amekikana vikali. "Kiukweli Diamond nampenda sana na sikuwahi kumpenda mwanaume kama yeye lakini sijui kwanini amekua akinipa lawama kila siku" alikua akisema maneno hayo Wema aliekua kambini akifanya filamu iitwayo BEFORE MY DEATH. Lakini pamoja na maelezo hayo ya Wema imeonekana kuna kitu anachokificha nyuma ya pazia, na nakuhakikishia kukupa habari kwa kina pindi tu ntakapopata ukweli wa jambo hili. |
No comments:
Post a Comment