MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

03 October 2011

"JIMBO MMECHUKUA TUNATAKA MAENDELEO"

Hatimae Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanikiwa kuchukua ushindi kwenye jimbo la Igunga, Pichani anaonekana Mmbunge wa Singida Mh. Dewji akiwa katika moja ya ziara zake katika jimbo lake alipokua amefanikiwa kunyakua jimbo hilo la Singida. Wana Igunga wamemuomba Mbunge wao mpya kuwa wanachotaka ni maendeleo na si blabla za kisiasa.

No comments:

Post a Comment