NYOTA NJEMA HUONEKANA HASUBUHI
Ni kweli kabisa kua kitu chochote kizuri kinahitaji maandalizi ya hali ya juu kama anavyoonekana mtoto mdogo kabisa akiwa ameshika Bendera ya Chama Demokrasia na Maendeleo. Swali langu ni kweli mtot huyu wanamuandaa kua mwanasiasa? au ni mapenzi ya mtoto mwenyewe kupenda chama? au yeye alipewa tu Bendera ya Chama na kuambiwa "wee beba tu mwangu" mimi sijui kwa kweli labda wewe msomaji wangu waweza jua zaidi.
No comments:
Post a Comment