![]() |
| Hawa ni wanajeshi waliokuwa wakipinga utawala wa Muammar Gaddafi wakifurahia ushindi, baada ya kumuondoa madarakani kwa kumuua. |
![]() |
| Hapa ni wananchi wa Libya wakisheherkea ushindi baada ya kifo cha aliyekua kiongozi wao kuuwawa na Majeshi yaliokua yakipinga utawala wake.. |
![]() |
| Sherehe kila pande za Libya. |
![]() |
| "Sasa tuko huru....." |
![]() |
| Akina mama wakisheherekea ushindi... |
![]() |
| "Maisha mazuri bila Amani si sawa kabisa." |









No comments:
Post a Comment