Ikiwa ni siku chache tangu tamko toka kwa nchi zilizoendelea kusema hazitotoa msaada kwa nchi za Afrika, iwapo hazitaukubali ushoga. Huko Kenya hajakubaliana na hali hiyo badala yake umekua ikiwafukuza na kuwanyima baadhi ya huduma kama elimu, hata baadhi ya vituo vya afya wamekua wakitengwa bila kupatiwa huma stahiki. Kwetu Tanzania binafsi namshukuru Waziri wa mambo ya ndani Mh. Harison Mwakyembe kwa kupinga vikali na kusema hata wakisitisha misaada yao Ushoga kwetu ni Haramu na hatuwezi kuukubali kamwe. Lakini yawezekana Wenzetu walikua wanania ya kusitisha misaada wakaona njia sahihi ni kutueleza swala kama hilo, maana kama sijakosea wao ndio walioyuleta dini zote tulizonazo sasa, sasa iweje leo watuambie wanaukubali Ushoga? Waafrika tuchanganue kauli hii kwa pande zote mbili. Kirukaafrika na Afrika Yetu, haikubaliani kabisa na suala la ushoga popote Duniani. |
|
No comments:
Post a Comment