MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

27 November 2011

BAADA YA KUMTOLEA UVIVU WEMA SEPETU SASA NI ZAMU HEMEDY.

Magwiji wawili wa kiwanda cha filamu Bongo, Jackline Wolper Massawe na Hemedy Suleiman wameingia tena kwenye mzozo wa kunyanyasana kutokana na kipato cha mwenziye kuwa kidogo. Jackline Wolper ambaye anaonekana mwenye kipato kikubwa ilihali mwenziye (Hemedy) kuwa maskini. Matukio yote Wolper anamfanyia Hemedy kwasababu ni maskini na kusahau kama ni mumewe wa ndoa.  Utamu huu wa kisa cha kusisimua kinapatikana kwenye fimu yao mpya iitwayo "STUCK ON YOU" Ambapo Jackline Wolper ameshiriki kama mke wa Hemedy Suleiman au PHD kama anavyotaka ajulikane hivyo.

No comments:

Post a Comment