Tulio wengi tuko makini kulinda mali zetu kuliko afya zetu kitu ambacho kinapelekea kutojua ni nini muhimu kwenye maisha ya mwanadamu. Jamaa huyu hapa pichani anaonekana kuichunga simu yake ambayo sikuweza kujua gharama yake mara moja kana kwamba ni rasilimali kubwa sana kwake. Vipi kuhusu ulinzi wa Afya zetu? hembu tujaribu kufanya ulinzi wa nguvu kwenye Afya zetu halafu tuone. |
No comments:
Post a Comment