MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

27 November 2011

BILA UPENDELEO, NI KIONGOZI YUPI NI BORA KWAKO NA KWANINI......

Kushoto ni Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, amabaye ni Rais wa kwanza wa Tanzania ambaye alitutoa utumwani mwa Waingereza na kutupatia Uhuru tarehe 9/12/1961. Na kulia ni Rais wa awamu ya nne Rais Jakaya Mrisho Kikwete.

No comments:

Post a Comment