Icon wa Bongo Movie, Yusuph Mlela "ANGELO" amepata pigo la kufiwa na baba yake mzazi maeneo ya Tegeta Chanika usiku wa kuamkia tarehe 28/11/2011. Kwa uharaka wa upatikanaji wa habari hii bado chanzo changu hakijagundua ni nini hasa kilichosababnisha kufikwa na umauti kwa mzazi wa Mlela. Tunakuahidi kukuletea habari zaidi punde tu tutakapofanikiwa kupata mengi zaidi. |
No comments:
Post a Comment