MADOIDO

MATANGAZO.

ADV

AURORA MARQUEE STYLE.

25 November 2011

MIAKA 50 YA UHURU TUNAWAENZI VIPI WAASISI WA TAIFA HILI?

Miaka 50 ndiyo imetimia tunafuhia tangu tumepata uhuru hakuna uvunjaji wa amani uliojitokeza katika nchi yetu, lakini kuna swali la kujiuliza kwamba kuna watu waliosababisha kupatikana kwa Uhuru wa nchi yetu pamoja na kuleta mshikamano, upendo na amani. Siwezi kuwataja kwa majina lakini kama mzalendo ni lazima utakua unawafahamu fika. Ukiachilia Mwalimu Nyerere, Karume, Sokoine na wengine wengi. Kama wewe ni mzalendo wa kweli utaguswa na hili.

No comments:

Post a Comment